Naibu wa Rais Rigathi Gachagua
Jumla ya wabunge 281 wamepiga kura ya ndiyo wakitaka aondolewe madaraka na wabunge 44 pekee ndiyo waliopiga kura ya hapana
Gachagua anatajwa kuwa Naibu Rais wa kwanza nchini Kenya kupigiwa kura ya kuondolewa madarakani.