Picha ya DJ Maphorisa
Maphorisa anasema DJ’S wa Nigeria wanacheza Amapiano kwa BPM (Beat Per Minute) ya 160 ambayo ni kubwa sana na inaharibu ladha ya muziki huo.
DJ maarufu kutokea Afrika Kusini DJ Maphorisa amewalalamikia DJ’s wa Nigeria kuwa wanaharibu muziki wa Amapiano kwa kuucheza kwa tempo (speed ya muziki) ya juu kitu kinachoondoa uhalisia wa nyimbo hizo.
Picha ya DJ Maphorisa
Maphorisa anasema DJ’S wa Nigeria wanacheza Amapiano kwa BPM (Beat Per Minute) ya 160 ambayo ni kubwa sana na inaharibu ladha ya muziki huo.