
Mkuu wa mkoa wa Shinyanga, Christina Mndeme
RC Mndeme ametangaza hilo wakati akizungumza kwenye kikao na wazee, machifu na viongozi wa dini kutokana na wazee mkoani humo kulalamikia biashara ya ukahaba kuzidi na kusababisha mmomonyoko wa maadili kwa vijana.
Kwa mujibu wa RC Mndeme, msako wa madada poa hao umeanza rasmi jana hivyo amewataka wahusika kuacha biashara hiyo mara moja.