Kabla kutuandikia kama unakubaliana na mtazamo wake au la, Baada ya mchezo wa hapo jana ambao Man city 3 vs Newcastle 2, kuibuka na ushindi ambao De Bruyne alihusika na magoli mawili kati ya matatu (3)
Kocha wa timu hiyo Pep Guardiola alinukuliwa akisema ''De Bruyne ni kipaji haswa na siyo juu ya mbinu, ni juu ya kijapi''
Unahisi kurejea kwa De Bruyne kunaweza kuwa msiba mzito kwa Liverpool? tuandikie mtazamo wako kwenye hili.