Picha ya msanii Professor Jay
Taasisi hiyo imezinduliwa rasmi siku ya jana Mlimani City Dar es Salaam ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali, CHADEMA, wasanii wa filamu na muziki pamoja na waandishi wa habari.
Wasanii wa BongoFleva nchini Tanzania Alikiba, Lady Jaydee, Chege na Temba, Weusi wamejitolea kuchangia fedha katika taasisi ya mkongwe wa HipHop Professor Jay 'Professor Jay Foundation' ya kusaidia wagonjwa wa figo nchini.