Monday , 27th Nov , 2023

Finest wa AR G Nako Warawara anasema ametumia miaka mitatu kufanya Collabo ya wimbo wa Komando na Diamond Platnumz.

Picha ya G Nako na Diamond Platnumz

"Huu ni wimbo wangu ambao umefanya vizuri kwa haraka kuliko nyimbo zote. Tumekuwa tukitaka kuufanya takribani miaka mitatu. Tulikuwa tunasubiri muda muafaka na vibe".

Ngoma hiyo ya Komando  kwa sasa upo namba 1 Trending Youtube, ina views Milioni 1.8 ikiwa na siku 13 tangu imetoka