Monday , 6th Nov , 2023

Mchekeshaji na muigizaji wa Marekani na Nigeria Yvonne Orji ameweka wazi kuwa yeye bado ni bikra na ameitunza bikra yake hiyo kwa miaka 39 mpaka sasa.

Picha ya Yvonne Orji

Yvonne Orjia amefichua hilo akizungumza na mtangazaji Chelsea Handler katika Episode mpya ya Podcast yake ya 'Dear Chelsea'.

Comments za mashabiki wengi wamempongeza kwa kutunza bikra yake hiyo, wengine wakimkosoa kusema ni muongo na wengine kushangazwa katika umri huo kuwa bado ni bikra.