Saturday , 4th Nov , 2023

Katibu Mtendaji wa Baraza La Sanaa Taifa (BASATA) Dkt Kedmon Mapana kuhusu wasanii kugoma kurudisha mikopo waliyochukua mwaka jana na mapato ya Tsh Bilioni 13 waliyoingiza wasanii mwaka 2022/2023.

Picha ya Katibu Mtendaji BASATA Kedmon Mapana

Zaidi tazama hapo chini kwenye video akifanya mahojiano na Digital ya East Africa TV.