Friday , 3rd Nov , 2023

Msanii Mo Music amefunguka kuwa yeye ndio chanzo cha kutofanyika tena kwa tuzo za 'Kili Music Awards' kwa sababu mashabiki kukosoa tuzo hizo baada ya Mo Music kutopewa tuzo ya msanii bora chipukizi. 

Msanii Mo Music

Mo Music amefunguka hilo kupitia Heshima Ya BongoFleva ya Planet Bongo. Zaidi tazama hapo kwenye video akizungumzia suala hilo.