![](http://eatv.tv/sites/default/files/styles/detailpageimg/public/news/2023/11/02/WhatsApp Image 2023-11-02 at 1.58.55 PM.jpeg?itok=R0lanS-2×tamp=1698935285)
Put mwenye umri wa miaka 67 anachukua nafasi ya Milutin Sredojevic 'Micho' aliyefutwa kazi mwezi Septemba mwaka huu. Kocha huyo ana uzoefu wa soka la Afrika amewahi kuzinoa timun za mataifa ya Gambia, Burkina Faso, Gabon, Kenya, Guinea na Congo kwa nyakati tofauti.