
kwa watumiaji wapya ili kuweza kutumia mtandao huo haswa kwenye vitu muhimu kama vile ku-tweet, ku-reply, ku-quote, ku-repost, ku-like, bila kusahau wazee wa bookmark.
Kampuni ya hiyo inaamini kuwa kwa kufanya hivyo kutasaidia kuondoa uwepo wa akaunti feki (maroboti) kwenye mtandao huo.
Na mfumo huu utaanza kama majaribio kwenye baadhi ya nchi.
Picha: Business Today