Timu 4 zinapambana kupata nafasi 1 ya kuwakilisha Kundi C - East Division kwenye michuano ya Elite 16 ya BAL mwaka, Dynamo ya Burundi, KPA ya Kenya, Elan Cotton BBC ya Benin na Pazi ya Tanzania yenye vyuma kama Hasheem Thabit, Baraka Sadick, Erik Rugola na wengine wengi wenye ubora wa kuitetea bendera ya Tanzania.
Wednesday , 18th Oct , 2023
Timu nne zinatarajiwa kugombania nafasi moja wakiwemo wawakilishi wetu wa timu za mpira wa kikapu nchini Pazi basketball club kuweza kutafuta tiketi ya kufuzu michuano mikubwa Barani Afrika katika ngazi ya klabu ya 'BAL' inayotarajiwa kuanza kupigwa alhamisi ya Oktoba 19 hadi 21, 2023 kati