Tuesday , 17th Oct , 2023

Mwanamuziki Vanessa Mdee 'Vee Money' amefunguka kuimiss Tanzania ambapo kwa sasa anaishi nchini Marekani na mchuma wake Rotimi.

Picha ya Vanessa Mdee

Kupitia Insta Story yake Vee Money ameandika kuwa "Really missing Tanzania" akimaanisha "Kiukweli nai-miss Tanzania".

Vanessa Mdee ameondoka Tanzania mwaka 2019 kwenda kuishi Marekani na Rotimi ambaye ni mchumba wake na baba wa watoto wake wawili.