Tuesday , 3rd Oct , 2023

Msanii Beka Flavour amewaumbua baadhi ya mashabiki wa mitandao ya kijamii akisema asilimia 99 wanaitumia mitandao hiyo vibaya.

Picha ya msanii Beka Flavour

Member huyo wa zamani wa Yamoto Band amefunguka hilo kupitia #eNewz ya #EastAfricaTV zaidi mtazame hapo chini kwenye video.