
Wadau hao wanahoji uhalali wa mkataba uliosainiwa na Serikali ya Tanzania na kupitishwa na Bunge kuhusu uwekezaji bandarini
Wadau hao wa katiba wanahoji uhalali wa mkataba uliosainiwa na Serikali Jamuhuri ya Tanzania na kupitishwa na Bunge kwa kutengenzea sheria zitakazo tumika kuongoza mikataba ya uwekezaji bandarini kwa kampuni ya DP World ya Dubai
Kesi hiyo inasimamiwa na mawikili wa kujitegemea Bonface Mwabukusi, Philip Mwakilima, Livino Haule na Caroline Luhungu