Klabu Bingwa Afrika na Kombe la Shirikisho
Katika droo ya Klabu Bingwa Afrika, Simba imepangwa na vigogo Raja Casablanca ya Morocco katika kundi C pamoja na Vipers SC ya Uganda walioingia hatua hiyo kwa kumtoa TP Mazembe na Horoya ya Guinea.
Kwenye Kombe la Shirikisho, klabu ya Yanga imepangwa na vigogo wa Afrika TP Mazembe katika kundi D pamoja na klabu ya US Monastir ya Tunisia na Real Bamako ya Mali.
Mechi hizo za hatua ya makundi za Klabu Bingwa Afrika zitaanza kupigwa mnamo 10 na 11 Februari 2023 na mechi za Kombe la Shirikisho zikipigwa kuanzia 12 Februari, 2023.
Droo ya makundi yote kwenye Klabu Bingwa Afrika ni haya:
Makundi yote ya Kombe la Shirikisho ni haya: