Wednesday , 26th Oct , 2022

Wizara ya Ardhi na Maendeleo ya Makazi ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imesaini Mkataba na Kampuni ya Upimaji Ardhi ya Property International kwa ajili ya Upimaji wa Ardhina Makazi Katika Visiwa vya Unguja na Pemba ikiwa ni Mkakati wa Serikali ya SMZ Kuhakikisha Ardhi ndogoya Zanzibar

Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi wa Zanzibar Rahma Kassim Ali akizungumza baada ya Kushuhudia Uwekaji saini Mkataba wa kuanza zoezi hilo katik ya Wizara ya Ardhi znz na Kampuni ya Property International amesema Mpango huo ambao unaanza kutekelezwa mara Moja Unalenga kuboresha Makazi yote ya Wananchi lakini pia kujenga Majengo ya Makazi katika Mpangilio unaokubalika.

Kwa upande wa wawekezaji hao wanaotekeleza Mradi huo kupitia kwa mkurugenzi wake amesema Mpango huo wa Utawezesha Visiwa vya zanzibar kuwa na Makazi bora yenye kupangika ambao utazingatia kufikika kwa miundombinu na mahitaji yote ya wananchi.