Friday , 29th Apr , 2022

Wizara ya Ulinzi ya Ukraine imedai kwamba jumla ya wanajeshi 23, 000 wa Urusi wamepoteza maisha tangu vita kati ya nchi hizo mbili ianze.

Baadhi ya uharibifu uliotokana na vita kati ya Urusi na Ukraine

Aidha Ukraine imesema kwamba mpaka sasa jeshi lake limekwishaharibu mizinga 986, magari 2,418 ya kivita, mifumo 435 ya makombora, ndege 189, meli 8 pamoja na helikopta 155 za Urusi.