Tuesday , 29th Mar , 2022

Messi wa BongoFlava na Bilionea Kid Rich Mavoko anasema kuonekana karibu na lebo ya Kings Music Records ni kitu cha kawaida kwa sababu ni familia yake na ana ukaribu na Alikiba.

Picha ya Rich Mavoko kulia, kushoto ni Alikiba

Rich Mavoko ameongeza kusema watashirikiana kwenye masuala ya kazi lakini kuhusu kusainiwa Kings Music Records ni suala ambalo hata hawaliwazii. 

Zaidi tazama hapa kwenye video.