
Picha ya pamoja Kassim Mganga akiwa anaperforme na Madee akimtunza pesa
"Moja kati ya waimbaji bora kabisa kuwahi kutokea kwenye ardhi ya nyumbani Tanga na nyumbani Tanzania, kwenye uandishi wa nyimbo za mapenzi ukimtoa Issa Matona hakuna kama Kassim Mganga"
Wawili hao walifanya kazi pamoja katika kundi la TipTop Connection miaka ya nyuma.
Awena, haiwezekani, subira, na waubani ni baadhi ya nyimbo kadhaa alizoimba Kassim Mganga kuhusu mapenzi.