Wednesday , 11th Aug , 2021

Unahitaji shilingi ngapi kukamilisha mitoko yako ya siku? Sharobaro president Bob Junior yeye anasema bila ya kuwa shilingi milioni moja mfukoni pamoja na team yake ya masharobaro hawezi kutoka.

Msanii Bob Junior

Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital, Bob Junior anasema "Mimi nina team ya watu wengi, nikitoka lazima niwe na milioni moja tu, halafu milioni moja si pesa ya kawaida tu".

Zaidi mtazame hapo chini kwenye video.