Msanii Goodluck Gozbert
Akifunguka kupitia show ya eNewz ya East Africa TV Goodluck Gozbert anasema muziki huo kuchezwa Club inaongeza ujumbe ambao mtu hachagui kuusikia.
"Ma-dj ni wakristo walokole huwezi kuwazuia kupiga muziki wa nyumbani kwao nahisi ni sawa acha zidundwe tu, haipunguzi chochote bali inaongeza kitu kwa sababu ni ujumbe ambao mtu hachagui kuusikia kama ambavyo mtu hachagui pa kufanya sala" ameeleza
Zaidi tazama hapo chini kwenye video.



