Thursday , 17th Jun , 2021

Album ya pili ya Rapper Kendrick Lamar ‘Good Kid, m.A.A.d. City’ imedumu kwa zaidi ya miaka 8 kwenye chart kubwa za album Duniani Billboard 200 ikiwa ni sawa na wiki 450 ambayo ilitoka Oktoba 22, 2012 chini ya Top Dawg Entertainment, Aftermath na Interscope Records.

Picha Msanii Kendrick Lamar

‘Good Kid, m.A.A.d. City’ imeweka rekodi ya kuwa album ya Hip Hop iliyokaa muda mrefu zaidi kwenye chart hizo katika historia.