Thursday , 27th May , 2021

Mama mwenye umri wa miaka 41 ambaye jina lake limehifadhiwa amebakwa na vijana 9 wanaodaiwa kuwa ni jamii ya Kimasai katika kijiji cha Mtakuja, Kata ya Dakawa wilayani Mvomero mkoani Morogoro.

Mwanamke aliyebakwa

Akisimulia madhila yaliyomkuta mama huyo amesema kuwa siku ya tukio alikuwa na mume wake wakitoka dukani kufuata mahitaji majira ya saa 1:00 usiku ndipo walipovamiwa na kundi hilo la wamasai na kumshambulia mume wake kwa fimbo na rungu ambapo licha ya kujaribu kujitetea lakini walizidiwa nguvu na ndipo vijana hao wakafanya kitendo hicho cha kikatili kwa zaidi ya saa nne.
 
Tazama video hapa chini