Mrembo Official Agness
Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital Agness wa Uchebe amesema sababu ya kutaja mahari hiyo ni kutokana alivyojitengeneza kwenye maisha yake, anavyojieweza na anavyojielewa.
"Mahari yangu mimi ni kubwa sana kwa sababu nimeshajitengeneza kwenye maisha yangu na najielewa, kama nyumba na gari vyote ninavyo pia nina biashara zangu kwa hiyo mahari lazima iwe kubwa, mahari yangu sio chini ya Milioni 20 wanaume wajipange sana" amesema Agness wa Uchebe
Zaidi mtazame hapa akilizungumzia hilo.