Friday , 24th Jul , 2020

Mlinda mlango wa Timu ya Taifa ya Misri Essam El Hadary ametangaza kustaafu soka akiwa na umri wa miaka 47.

Aliyekua mlinda mlango wa Timu ya Taifa ya Misri, Essam El Hadary akishangilia ushindi wa timu yake ya Taifa.

Essam El Hadary alikuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi Kwenye mashindano ya kombe la dunia yaliyofanyika Urusi mwaka 2018.
.
Mataji aliyopata akiwa kama mchezaji

AFCON - 4
CAFCL - 3
Egypt League - 8
CAF Super Cup - 3
Egypt Super Cup - 4
Egypt Cup - 3
Swiss Cup - 1