
East Africa Television na East Africa Radio kupitia NAMTHAMINI mmeweka alama hapa Tabora, hatutakaa tusahau jambo hili, mmepiga mhuri katika mioyo ya watu wa Tabora kwa kutatua tatizo la msingi kwa mabinti hawa. Kwa niaba ya serikali tunawashukuru.
Mkuu wa Mkoa wa Tabora
Kiongozi wa Serikali
