Washerehe- shaji wa kike wa shughuli za harusi hasa za 'Kitchen Party' watakuwa wanazungumzia changamoto wanazozipata katika kazi zao.