Je, katika ligi kuu Tanzania bara kuna haja ya kuweka kanuni ya kupitia mkanda wa video kwa matukio yanayotendeka uwanjani ili kutoa adhabu stahiki? Huu ndio mjadala wetu ndani ya kipindi cha Kabumbu