Ze Comedy
Habari ya mjini
Bingwa wa kula matonge hana hiyana kuonyesha kipaji chake hata ugenini
Mazuzu
Wachaga waliochanganyikiwa wakiwa katika harakati zao za kutafuta riziki
Magumashi
Mzee wa harakatika aibukia Tabata akiwa kipofu unajua ni nini kimemsababishia hayo yote?
Kanjibhai
Mdosi aka Kanjibhai aingia chaka bovu akumbana na kipigo cha masela Shabani awa mkombozi wake unajua aliokolewa vipi?
Ndani ya Jamii
Mpangaji aliyeambiwa ahame nyumba baada ya kukaa siku mbili tu kisa eti mwenye nyumba anataka akapela bila biti