Ripoti
Rais wa FIFA, Sep Blatter, atuma salam za pongezi kwa Azam FC kwa kutwaa ubingwa wa Tanzania Bara. Salam hizo za FIFA zimewasilishwa na Rais wa TFF bwana Jamal Malinzi aliyewavalisha medali wachezaji wa Azam.
Jivunze Game
Manahodha wa timu ya Taifa ya Kriketi, Abdallah Khamis na Khalil Remtullah, wafundisha jinsi ya kucheza mchezo huo.
Vumbua
Francis Cheka ashindwa kuwachekesha watanzania baada ya kupata sare ya bahati mbele ya Gavad Zohrehvand wa Iran na Francis Miyeyusho amewayeyusha watanzania baada ya kupigwa KO ya sekunde ya 55 na Sukkassem Kietyongyuth wa Thailand.