Tukiwa tunaelekea ile tarehe ya wapendanao Nirvana inakukutanisha na gwiji wa media Tanzania Jimmy Kabwe na mkewe Ziada Abeid wakizungumzia historia yao ya mapenzi.