Q and A
Pale mwanafunzi kutoka Kenton akijibu swali na 'kutokelezea' akiogopa kukuna kidevu
Kimbweta
Mwanafunzi huyu yeye anasema, kama hutokuwa 'serious' na masomo unaweza usifaulu hata kama unaenda tution.
Tokelezea
Kipaji cha kucheza kutoka kwa wanafunzi wa Kenton sekondari, wakitokelezea kivyao.