Name: 
Kemmy.
Watanzania tena hasa vijana tujitokezeke katika uchaguzi huu ili tuweze kuchagua viongozi wanaotufaa na watakaotuletea mabadiliko ya Kweli.
Category: 
Hamasisha