Submitted by Bhoke on Wednesday , 9th Apr , 2014Usikose kuangalia Nirvana Jumanne hii sa moja usiku kuona ile 'exclusive show' ya tamasha lililobamba wiki hii la Mafikizolo. Utapata ona watu walivyotokelezea, mahojiano ya Mafikizolo wenyewe na pia jinsi walivyolimiliki jukwaa.