
Msanii Young killer
12 Sep . 2018

Katibu mkuu wa CHADEMA Dk. Vincent Mashinji.
12 Sep . 2018

Mmoja wa walemavu akiwa katika hatua ya mwisho ya upigaji picha ili aweze kupata kitambulisho cha utaifa katika mchakato wa utoaji wa vitambulisho vya utaifa kwa watu wenye ulemavu.
12 Sep . 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa TAKUKURU katika Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.
12 Sep . 2018

Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Joseph Kakunda.
12 Sep . 2018