
Kikosi cha leo dhidi ya Mali
Aidha, Uongozi wa Serengeti Boys wamekiweka hadharani kikosi chao kinachoshuka dimbani leo katika hatua ya makundi kwa mara ya kwanza huku Ally Msengi kushika nafasi ya aliyekuwa Kapteni wa kikosi hicho hapo awali.
1.Ramadhan Kabwili
12. Kibwana Ally
3. Nickoson Kibabage
5. Dickson Job
14. Ally Msengi (C)
2. Ally Ng’anzi
10. Asad Juma
13. Shaban Adda
15. Yohana Mkomola
20. Kelvin Naftal
11.Mohamed Abdallah