Mchezo wa kuinua vitu vizito
Bingwa wa Afrika kwa mchezo wa kuinua na kuzuia vitu vizito Power Nemes Chiwalawala maarufu kama power chiwalawala amesema yuko katika mikakati ya nguvu yakuhakikisha mchezo huo unarejea kwa nguvu hasa kuanzia mashuleni.
Power Chiwalawala amesema kukosa udhamini na kuwepo na imani potofu juu ya mchezo huo ndio sababu kubwa zilizofanya mchezo huo ukapoteza umaarufu wake.
Chiwalawala amesema mazoezi pekee ndio siri ya mchezo huo na kamwe hakuna aina yeyote ya uchawi ama dawa inayotumia kufanya mchezo huo