
Kaseba amesema, anahitaji kuwa na vipaji vipya ikiwemo kupata mabingwa wa Kick Boxing wa dunia ambaye ataweza kuiwakilisha nchi ya Tanzania.
Kaseba amesema, ligi hiyo itakuwa ikifanyika mara tatu kwa mwaka kwa kuwaalika mabingwa kutoka katika nchi za Uganda, Kenya na Ethiopia.