Mmoja wa wahitimu wa programu ya mafunzo ya uongozi (FFT) kwa mwama huu, Kulwa Nyirenda anayefanya kazi GGML, akipokea cheti kutoka kwa Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Dorothy Gwajima (wa tatu kushoto) , wa pili kutoka kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira & Watu Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi, nao kutoka kulia kwenda kushoto: Makamu Mwenyekiti wa ATE, Imelda Lutebinga, Mwenyekiti Mstaafu wa ATE, Almas Maige na Mkufunzi wa mafunzo hayo kutoka Chuo cha Mafunzo ya Utawala Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI), Profesa Lucky Yona.

7 Mar . 2024

Zoezi la upigaji kura kuchagua nafasi ya Kiongozi wa Chama, Mwenyekiti wa chama, Makamu Mwenyekiti wa chama Bara na Zanzibar.

6 Mar . 2024

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (katikati) akikagua moja ya miundombinu ya daraja mkoani Lindi leo Machi 5, 2024

5 Mar . 2024