Thursday , 24th Sep , 2015

Star wa muziki Young Dee, ametoa tathmini yake kuwa kufanya biashara katika muziki kwa upande wa Hip Hop ama kuimba inategemea na kanuni ambayo msanii binafsi anakuwa amejiwekea.

Staa wa muziki nchini Young Dee

Kauli ya Young Dee inakuja kufuatia mtazamo kuwa muziki wa Hip Hop haujakaa kibiashara kama ilivyo kwa ule wa kuimba, katika kipindi hiki ambacho pia kuna mifano hai ya wasanii wa Hip Hop wanaofanya vizuri katika chati za juu kwenye game.