Monday , 12th Dec , 2016

Wasanii wa kundi la Navy Kenzo ambalo limeibuka na ushindi wa kundi bora kwenye EATV Awards, wamewashukuru mashabiki kwa ushindi huo na EATV kwa kuandaa tuzo hizo.

Kwenye kurasa zao za Instagram Nahreel na Haika wamepost picha za tuzo hiyo huku wakiyaandika haya..

 

 

Tags: