
Jay Moe
Jay Mo ambae ni mmoja wa waanzilishi wa Kundi la Wateule amesema kuwa Style anayotumia Nas ni ndio anayoifanya yeye na ndio maana siku zote anabaki kuwa mwenye heshima yake katika game ya Muziki nchini.
Amesema licha ya kuingia kwenye game hajambadilisha kabisa Nas na kumpelekea kwenye Biashara na yeye ndio anajaribu kufanya muziki wa aina hiyo bila kuweka saba mbele Biashara ila ni kwa kuwakilisha kile anachikiamini.
