Franklyn na Desire enzi za penzi lao
Katika kuthibitisha hilo, Franklyn ambaye yupo kusipojulikana amerekodi video fupi na kuisambaza akitoa maneno ya kejeli kwa waziri huyo, na kusababisha mkanganyiko huku watu wengine wakitaka waziri huyo awajibike ama kufafanua kinachoendelea.
Franklyn pia ametumia njia ya mtandao kumnanga Desire aliyekuwa mpenzi wake kuwa, picha ya nyumba iliyo katika ujenzi aliyoiweka mtandaoni hivi karibuni sio ya kwake kwakuwa mwanadada huyo hafahamu hata bei ya simenti.




