Monday , 5th May , 2014

Kesi ya mauaji inayomkabili mwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius imeendelea leo baada ya mapumziko ya wiki, ambapo upande wa mshitakiwa unawasilisha utetezi wake.

Oscar Pistorious

Wataalam zaidi wataitwa wakati mwanasheria wa Pistorius akijaribu kupangua hoja za mwanasheria wa serikali kuwa mwanariadha huyo alimuua kwa makusudi mpenzi wake Reeva Steenkamp.

Pistorius amekuwa akikanusha kumuua kwa makusudi Reeva Steenkamp siku ya Valentine mwaka jana kwa kumpiga risasi akiwa amejifungia