
Wimbo huu wa 'love again' ni wimbo unaoelezea mwanamke ambaye amewahi kuumizwa sana kimapenzi na anataka kumsaidia ili aweze kupenda tena.
"love again' ni wimbo wangu wa pili katika albamu yangu inayokuja, wimbo wangu wa kwanza kuuchia kwenye hii albamu unaitwa 'Nicheze Nawe'. Wimbo huu wa 'love again' umeimbwa katika lugha tatu ambazo ni Kingereza, Kinyarwanda na Kiswahili ili watu wote wanaosikia lugha hizi waweze kufurahia wimbo huu". Ameelezea Iain Stewart
Video ya 'love again' shooting yake imefanyika katika eneo la Galaxy Hotel na Inema Arts Center, Kigali, Rwanda.
Itazame hapa https://www.youtube.com/watch?v=QPNjtgNkfRg