
Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2014, Carolyn Bernard
Mashindano haya yamepambanisha wasichana 12 wenye fani mbalimbali mbali na urembo wao, katika mashindano haya yaliyopambwa na burudani ya muziki wa asili kutoka kundi la Haba na Haba.
Kujionea Burudani yote kutoka katika tukio hili la aina yake, usikose kutazama show kali ya Nirvana Jumanne tarehe 11 mwezi huu, kuanzia saa 3 kamili usiku, hapa hapa EATV.