Sunday , 6th Sep , 2015

Staa wa muziki wa miondoko ya bongofleva Belle 9 amejipanga kuisimamia kampuni yake ya Vitamin Music kwa kuiboresha zaidi akiweka wazi sababu ya kucheleweshwa kutoka kwa video ya 'Shauri zao'.

Staa wa muziki wa miondoko ya bongofleva Belle 9

Aidha mkali huyo pia ameongea na enewz kuhusiana na kufanya kazi na waongozaji mbalimbali wa video akiwemo Hanscana ambaye ni mmoja wa waongozaji hodari nchini.