nyota wa nchini Nigeria Tuface Idibia
Katika project hi, star huyo anatarajia kufanya kazi kwa karibu na wasanii kama vile Avril, kundi maarufu la Elani, Davido, Vanessa Mdee kutoka Tanzania na wengine wakali.
Ujio wa star huyo kati ya wengine, unaongezea ladha zaidi project hii kwa mwaka huu ambapo wanatarajiwa wasanii wengine wakali pia kutoka Mozambique na Uganda kati ya sehemu nyingine.