
Msemaji wa kambi rasmi ya upinzani katika bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Tundu Lissu.
Kauli hiyo iliyolewa jana na msemaji kmkuu wa Kambi ya upinzani ambaye pia ni waziri kivuli wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano) , Tundu Lissukatikahotuba yake ya makadirioy ampato na amtuizi ya fedha ya ofisi hiyo kwa mwaka 2014/2015.
Lissu alielezea kuwa, kwa mapendekezo yaliyopelekwa bungeni na Serikali, Zanzibar itaibiwa fedha nyingi zaidi kwa mwaka wa fedha 2014/2015.